The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wametukana mamba katikati ya mtoYanga wamuombe Mgunda msamaha na awaachie toka moyoni
Haswaaa ๐Kwamba inatumia mibange.
Vipi keshapuliza cha la chuga ?๐๐จ๐ซ๐ข๐ฌ๐จ๐ง
Kama nakuona vile unavyotaka kulia hahahaaaaaaaWachezaji wa Yanga bhana! Mnapata kona nyingi, halafu upigaji ni ule ule. Mara zote wenzenu ndiyo wanao zicheza. Kwa nini msipige kona fupi!!!!
sikuwa na cm.ila nipoKumbe hupogo?
๐๐๐
Nahisi kachoka sana Leo, nilikuwa namshauri 'akapundhike' kidogo..