Shabiki mmoja (40) amefariki kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwenye mchezo wa Yanga & USM Alger.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema marehemu ni mmoja wa majeruhi 30 waliopokelewa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke.