FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

80'

Ibrahim benzanza amepokea kadi ya njano
 
Huyu Diarra atachomesha anatoka Sana langoni jamaa watamsoma udhaifu huu kuleta maafa tena
 
Shabiki mmoja (40) amefariki kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwenye mchezo wa Yanga & USM Alger.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema marehemu ni mmoja wa majeruhi 30 waliopokelewa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke.
20230528_173914.jpg
 
Mwakilishi wa Samia aliyebeba kibunda mnamuona hapo au keshasepa na mamilioni ya Samia?
 
Mwenye speech ya Eng aiweke hapa nifanye marejeo
 
80' 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 0 𝐔𝐒𝐌𝐀 1

𝐊𝐚𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐧𝐣𝐚𝐧𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐡𝐢𝐦 𝐁𝐞𝐧𝐳𝐚𝐳𝐚...𝐚𝐥𝐢𝐦𝐝𝐨𝐧𝐝𝐨𝐬𝐡𝐚 𝐌𝐮𝐝𝐚𝐭𝐡𝐢𝐫
 
𝐌𝐚𝐲𝐞𝐥𝐞𝐞𝐞𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐥𝐞𝐯𝐞𝐥 𝐬𝐜𝐨𝐫𝐞𝐛𝐨𝐚𝐫𝐝

𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 1 𝐔𝐒𝐌𝐀 1
 
Back
Top Bottom