FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Bafo dakika 6 za kupunguza maumivu japo droo
 
Hii iwaambie kuwa nyinyi mpo kwenye kiganja cha mwarabu na yeye ndiye anaeamua mchezo uende vipi, wakiwashwa kupata goli wanalipata bila shida (kama mlivyoona hapo), wakiamua mchezee mpira wanawaachia, na huu ndio mpira wa waarabu halisi (direct football).

Raja nae alimuacha Simba Sc kachezea mpira ila kila akitaka goli, anabonyeza tu.

KULE KWAO HAMUWEZI KUWAFANYA CHOCHOTE NA HILI KOMBE TAYARI NI LAO.
 
Bado dakika 5 za kupunguza maumivu japo kwa droo
 
Bado dakika 4 za kupunguza maumivu japo kwa droo
 
PAMOJA NA KUJAA UWANJANI KAMA ALIZET LKN WAPI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Bado dakika 3 za kupunguza maumivu japo kwa droo. Mvua nayo inapunguza joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…