FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Hii iwaambie kuwa nyinyi mpo kwenye kiganja cha mwarabu na yeye ndiye anaeamua mchezo uende vipi, wakiwashwa kupata goli wanalipata bila shida (kama mlivyoona hapo), wakiamua mchezee mpira wanawaachia, na huu ndio mpira wa waarabu halisi (direct football).

Raja nae alimuacha Simba Sc kachezea mpira ila kila akitaka goli, anabonyeza tu.

KULE KWAO HAMUWEZI KUWAFANYA CHOCHOTE NA HILI KOMBE TAYARI NI LAO.
Thio thahihi, bado tunawedha.
 
Njoeni njoeni katika zile 10 zimebaki 2
run-running.gif
 
HUU ALGERIA TUNAVAA MISULI
UTOPOLO KAZI IPO[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HABIB HABIB
 
Hii iwaambie kuwa nyinyi mpo kwenye kiganja cha mwarabu na yeye ndiye anaeamua mchezo uende vipi, wakiwashwa kupata goli wanalipata bila shida (kama mlivyoona hapo), wakiamua mchezee mpira wanawaachia, na huu ndio mpira wa waarabu halisi (direct football).

Raja nae alimuacha Simba Sc kachezea mpira ila kila akitaka goli, anabonyeza tu.

KULE KWAO HAMUWEZI KUWAFANYA CHOCHOTE NA HILI KOMBE TAYARI NI LAO.
Wee kwa Simba waliloaa hata kule kwao mpk matut..it means waliloa
 
Back
Top Bottom