FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Yanga wamebakiza mlima mgumu sana kupanda; itabidi wafunge mabao 2-0 au 3-1 huko ugenini. Mungu Ibariki Yanga. Kuna wachezaji wengi leo walikuwa wanafanya makosa ya kipuuzi sana, sijui ilikuwa ni kwa sababu ya pressure au vipi. Yanga wamefungwa kwa mara ya kwanza nyumbani, sijui kama wanaweza kuja na comeback kali huko ugeninini ingawa wana rekodi ya kufunga timu nyingi ugeninini.
 
๐๐ข ๐ฌ๐ฎ๐š๐ฅ๐š ๐ฅ๐š ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐ญ๐ฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ