FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Huku kwetu ni vibeeee
jim-carrey-jim (2).gif
 
Yanga wamebakiza mlima mgumu sana kupanda; itabidi wafunge mabao 2-0 au 3-1 huko ugenini. Mungu Ibariki Yanga. Kuna wachezaji wengi leo walikuwa wanafanya makosa ya kipuuzi sana, sijui ilikuwa ni kwa sababu ya pressure au vipi. Yanga wamefungwa kwa mara ya kwanza nyumbani, sijui kama wanaweza kuja na comeback kali huko ugeninini ingawa wana rekodi ya kufunga timu nyingi ugeninini.
 
Yanga wamebakiza mlima mgumu sana kupanda; itabidi wafunge mabao 2-0 au 3-0 huko ugenini. Mungu Ibariki Yanga. Kuna wachezaji wengi leo walikuwa wanafanya makosa ya kipuuzi sana, sijui ilikuwa ni kwa sababu ya pressure au vipi. Yanga wamefungwa kwa mara ya kwanza nyumbani, sijui kama wanaweza kuja na comeback kali huko ugeninini ingawa wana rekodi ya kufunga timu nyingi ugeninini.
𝐍𝐢 𝐬𝐮𝐚𝐥𝐚 𝐥𝐚 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐭𝐮
 
Back
Top Bottom