FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Na mpira umekwisha

Wao 1 vs Sisi 2.

Samahani sana mtani Shadeeya Bantu Lady. Hii ndio fainali sasa.
Bado tuna Imani na Yanga...
Leg 2 of 2 tuna uwezo wa kufunga 3, wao Nabi kishaona uchezaji wao, Algeria kwao huko wanaweza wasizione nyavu. Yote kheri 🙏

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#yangadaimambelemyumamwiko#
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachekaaa km mazuriiiiiiiiiiii
 

Confidence yako nimeipenda, but dont take the lightly, walikuja kutafuta dro lengo lao wametimiza zaid. Hii game ilitakiwa yanga ndio ashinda ili kule kuwe kurahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…