Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Kiukweli tutakaa tutalijadili hilo ila kwa sasa nipeni muda ni vibe kwanzaWe Makolokolo si nilikwambia pengo la Aucho limeonekana kabla hata ya mechi?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Linini hilo mnaenda kulichukua? Kuwa muwazi, isije kuwa kama lile linafanana na timu ya Angola ilicheza na Simba Dar na iko nafas ya 10 ligi yao leo. FC LiboloTunaenda kulichukulia kwao
๐๐๐ฐ๐๐ญ๐๐๐ฆ๐ข๐ง๐ข, ๐๐จ๐ฆ๐๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐๐ง๐๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐ฐ๐๐จ
labda watoe huu mwiko kwanzaNdege itakua nzito sana. Itaruka Kwa tabu sana kubeba waliokata tamaa
UKIPEWA YANGA NA ANDAZI UTACHAGUA NN[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa mpira gani mlio nao?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]๐๐๐ฐ๐๐ญ๐๐๐ฆ๐ข๐ง๐ข, ๐๐จ๐ฆ๐๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐๐ง๐๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐ฐ๐๐จ
๐ ๐ ๐Unapataje usingiz huna kikombe hata cha kahawa?
Tuliiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu siyo watu wazuri hata kidogo wameufanya mji umetulia tuli.
Sasa mnaanzaje kuacha kukata tamaaa?Nasikitika tumefungwa lkn mungu yupo pmj na sisi Wanayanga wenzangu tusikate tamaaa
๐๐ ๐ฌ๐ฎ๐๐ข๐ซ๐ข๐, ๐ง๐ข ๐ฌ๐ฎ๐๐ฅ๐ ๐ฅ๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐ ๐ญ๐ฎKwa mpira gani mlio nao?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naungana nawe. Matumaini ni mengi๐๐๐ญ๐ ๐ฆ๐ข๐ฆ๐ข ๐๐๐๐จ ๐ง๐ข๐ง๐ ๐ข๐ฆ๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐๐ข๐ฅ๐ข