FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Waliokufa kiume wanashangilia kwelikweli wanasahau kua yanga hii haishindwi chochote,next game hamtaamini
 
Mji utatulia kwa muda tu baada ya kuchukua medali na ubingwa wetu wa NBC we will be back on roads, msimu huu tunaanzia chanika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] medalii sio ishuu bwasheee, ni km historia tyuuh. Poleeeeeeeeeh
 
Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
Fainali ya loosers. Hongera mtani😂🤣
 
Back
Top Bottom