FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

USM Alger wanacheza kulingana na hali ya uwanja ila Yanga wanafosi kucheza mpira wao ule ule wa siku zote ilhali uwanja hauruhusu
Yap mi mwenyewe nimekiona hicho kitu.

Nadhani wanafuata maagizo ya kocha
 
Kisinda anapiga shuti kali lakini mlinda mlango anaunyaka mpira
 
Hii mvua ya leo Dsm yote sio dalili nzuri kwa utopolo, mvua ni ya Simba.
 
15' 𝐓𝐮𝐢𝐬𝐢𝐥𝐚 𝐊𝐢𝐬𝐢𝐧𝐝𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐠𝐨𝐥𝐢 𝐣𝐚𝐩𝐚..𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐬𝐡𝐚𝐦𝐛𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢
 
Kwanini mvua imenyesha lkn,uwanja sio rafiki hata kidgoo Eee Mungu[emoji2969]
 
Yanga mnacheza kama fainali au kama mechi ya kawaida? Endeleeni kufanya mzaha mtanikumbuka in Jiwe's voice
 
Back
Top Bottom