Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
ππΎππΎππΎππΎKama ipo timu ya kuleta kombe la Africa Tanzania,,,, ni Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππΎππΎππΎππΎKama ipo timu ya kuleta kombe la Africa Tanzania,,,, ni Simba
Tiketi za bure huwa zina mkosi sana. Stars ilikuwa hivi hivi.
Waarabu wanakaba wengi kwenye box lao kama wavietnam
Imefikia hatua team yenye budget ya zaidi ya 20B kwa mwaka inafananishwa na Dodoma Jiji?Ata dodoma walituanza hivi ,mwisho wakaoga magoli
Kama ipo timu ya kuleta kombe la Africa Tanzania,,,, ni Simba
Mmeliona komwe la privadhino linavyowaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Pole sana mkuuHata senene haziliki tena...nikalale niangalie series [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2638245
Mie nipo hapa nasubiri kuona hicho kivumbi na jasho..[emoji23]Mashabiki wamepoa iko wapi faida ya full house?
Kabisa mkuu, siwapendi kabisa uto ila kwa maslahi Mapana ya nchi yangu sina budi kuwaunga mkono ndalaKabisa mkuuleo hayana chama, kila la heri Yanga!! Tunasimama pamoja kama Taifa kwa hiliView attachment 2637427