FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.

Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, Je kutokana na ulivyouona mchezo wa kwanza unadhani mchezo huu utakuwaje?

Nani unampa nafasi ya kuibuka bingwa?

1685755767153.png

---​
Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.

1685816706910.png

Hali ya Uwanja saa 2 kabla ya mechi
---

Vikosi vinavyoanza leo

Kikosi cha Yanga
1685815853658.png

Kikosi cha USM Alger

1685816499567.png

Bado dakika chache mtanange huu uanze, kaa hapa nami kwa upates mbalimbali.

Vikosi vimeshaingia Dimbani wa ajili ya kupasha misuli joto
---
Vikosi vimeshaingia dimbani tayari kukiwasha.

Atmosphere ya Uwanja ni hatari sana. Hawa waarabu wamepiga fataki za kufa mtu mpaka uwanja unafuka Moshi

- Mpira umeanza kwa kasi huku Yanga wakilifikia lango la Algers mapema bila kupata bao

- Yanga wanapata penati dakika ya 5 Djuma amepewa aipige

- Gooooool Yanga wanatangulia hapa...

- Timu zinashambuliana kwa zamu sasa ni dakika ya 15

- Dk 20 bado timu zinashambuliana huku umakini ukiongezeka. Yanga bado anaongoza bado Moja la Djuma Shabaan

- Dakika 35 Yanga wanasukuma mashambulizi kuelekea lango la USM Alger

- Dakika ya 39 ni Water Break hapa

- Dakika ya 45 zimekamilika zimeongezwa dakika 5 hapa

- USM Alger wanapa faulo katika eneo zuri. Diara anaokoa kwenye chaki.

- Mapumziko Yanga wanaenda wakiwa mbele ugenini

- Kipindi cha pili kimeanza

- USM Alger Wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili

- Dakika ya 54 bado timu zinashambuliana

- Dakika ya 56 USM Alger wanapata mkwaju wa penati..

- Diaraaaaa anadaka hapa

- Dakika ya 61 anatoka Kisinda anaingia Morrison

- Dk 65 yanga wanapeleka mashambulizi ya kasi

- Dk 71 anaingia Aziz Ki anatoka Musonda

- Dk 80 bado mechi Ina kasi kubwa timu zote zinashambuliana

- Mzize na Farid Mussa wameingia Lomalisa ametoka

- Dk 90 zimeongezwa 6

FT Yanga ameshinda lakini hajafanikiwa kutwaa ubingwa
 
Algiers, Algeria
Uwanja: jina: Julai 5
Ujazo : watazamaji 64,200
Time : Saturday night (20h00 local time)

Ikicheza nyumbani Union Sportive de la Médina d'Alger kwa ufupi jina USM Alger au ukipenda USMA wanaikaribisha timu ya Dar es Salaam Young Africans toka Tanzania.

MWAMNYETO NA WENZIE WASEMA NI MBILI BILA USHINDI KWA YANGA


MECHI IMEISHA, HATUA KWA HATUA YANGA ILIYOIADHIBU USMA JIJINI ALGIERS
BN Sport Al-Kharafi report, after the crowning of the Capital Union today, the African Confederation Cup, at the expense of Young Africans

 
Algiers, Algeria
Uwanja: jina: Julai 5
Ujazo : watazamaji 64,200
Time : Saturday night (20h00 local time)

Ikicheza nyumbani Union Sportive de la Médina d'Alger kwa ufupi jina USM Alger au ukipenda USMA wanaikaribisha timu ya Dar es Salaam Young Africans toka Tanzania.

MWAMNYETO NA WENZIE WASEMA NI MBILI BILA USHINDI KWA YANGA

Wanakaribisha timu chovu. Leo ndio mtaiona Yanga halisi
 
Hapana, mungu anakazi nyingi za kufanya aache kusikiliza maombi ya vilema vipofu aje askilize hizi. Leo wanakufa tena 3+. Hiki ndo kipimo chao halali wale wengine walikua wabov, hata azam angeshrik nae angekua fainali now
 
AL HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIQمسسوينينينثنثنثنيينثتبنبنيتيتينيتينيننينييتتيننبنبنينتتتطتطتطرربتبذتتينببتطوينينثنينتطستينينطتظريرثتبننيتنMMMWAMNYETO MOCHWARI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
e843bba1-d6b3-4f6c-bc48-f61cc1e550bd.jpg

BAHZAZI huyo ana mechi 6 goli 40 mechi ya pale mkapa [emoji2522] hakuwepo leo atakuwepo anafunga akiwa bench na leo ndyo bday yake kacheza Aston Villa مسنسينينينينينيينطنيريتبتطتثتبتترررريريينطوظووييرطورطرطريربرطرطرربرذرطرطربربنبننثرتنظممظرصثنوطjela [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom