FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Nikiwa kama mdau wa soka ninayeamini mafanikio ya Yanga hayawezi kuzuia mafanikio ya Simba bali ni chachu kwa pande zote mbili....ninaitakia Yanga ushindi kwenye mchezo wa leo
 
AL HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIQمسسوينينينثنثنثنيينثتبنبنيتيتينيتينيننينييتتيننبنبنينتتتطتطتطرربتبذتتينببتطوينينثنينتطستينينطتظريرثتبننيتنMMMWAMNYETO MOCHWARI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Shem una fujoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzuu alikifundisha nani?? Benzanza??
 
20230603_104228.jpg
 
Za ndaaani kabisa, katika maandalizi ya mechi hii, Yanga walikaa wakasoma kwa makini jinsi Simba walivyocheza gemu ya pili na Wydad.
 
Sitaki kujipa pressure kama ya 1st Leg maana ilitaka kuniua, leo nimepima kabisa najua unasoma juu 146/99 lakini sitaki izidi, so nimejitune yanga iwe wafungwe au washinde, tulipofika ni mafanikio tosha kabisa.
 
Back
Top Bottom