FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Kwa nia njema kabisa unaweza kuitakia Yanga ushindi kwakuwa ni timu ya nyumbani lakini msemaji wao na sehemu kubwa ya mashabiki wamejawa na ujinga mwingi sana!
Anyway nawaombea ushindi.. Akishinda Yanga imeshinda TanzaniaView attachment 2644122

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh....hongera Mimi Sina uzalendo huoo Wana midomo sanaaa ..lolote liwakute
 
UZI HUU UTOPOLO WAMEUSUSA سمينينينيمسينسيينييMWAMNYETO CHOONIشووسينثنيننين[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuzimalizia dakika tisini zilizobakia.

Yota kwa yote hakuna kisichowezekana katika mpira tupo tayari kwa matokeo yaliyo mazuri zaidi. 💪💪💪

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.

Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.
 
Back
Top Bottom