FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mungu awe pamoja na wapambanaji wetu huko Algiers.

Kwetu ni furaha sana kwani tunaamini tutachukua kombe na kurudi nalo nyumbani.

Tulianza pamoja mpaka leo tunafika tamati.

Huko nyuma yalisemwa mengi sana kuhusu sisi lakini Mola akatulinda na mpaka leo tupo final..

Kama yalivyo mapenzi yake Mola Basi na leo ikawe kama anavyotaka.

All in all nawatakia ushindi mkubwa Young Africans Mabingwa mara nyingi nchini na kurudi na kikombe nyumbani..

Young Africans pride of TZ [emoji172][emoji169]
 
Soma kwa sauti bila kulia
IMG_20230526_220107.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4]! Relaxxxxxx Udugu akeeeee sio kwa maombi kabayaaa hayoooo !
Mshwendwweeeee[emoji1787][emoji1787][emoji28]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu andaa lesso kubwa ya cotton ili machozi yafutike vizuri.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuzimalizia dakika tisini zilizobakia.

Yota kwa yote hakuna kisichowezekana katika mpira tupo tayari kwa matokeo yaliyo mazuri zaidi. [emoji123][emoji123][emoji123]

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mtaniiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mancity katangulia kuchukua kombe la pili, wenzake Yanga wanaenda kuchukua usiku huu.
 
USM ALGERRRRRRRR.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
yaani wapo mbadembade na mashabiki wa usm algers
tumetisha haswaaaaa
 
Huko weenda kumtangaza mama yao SHH, hakuna mpira wa maana watakaocheza.
 
Najua Timu Yangu Ya Utotoni, USM ALGERS wanaanza Mpira kwa Kasi kitafuta goli la Mapema Wakati Timu ngeni (Yanga) wakiwa Wamefunguka. Ili kupunguza Pressure ya Mchezo na kuwaongezea Mzigo hawa Wageni
 
Back
Top Bottom