Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mungu sio Manara 😂Mungu hawezi kubali wanaSimba tudharirishwe na kuzodolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu sio Manara 😂Mungu hawezi kubali wanaSimba tudharirishwe na kuzodolewa
Ameeeeeennnnnn! 💚💛Kila la heri Yanga, kila la heri Tanzania...
Wachawi wanajulika kwa kutopenda mafanikio ya wenzaoMungu baba muumba wa kila kitu, natumai ushindi monono utawapa USM Alger.
Mungu ibariki USM Alger.... Amiiin.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na iwe hivyoMwenyeji 3 [emoji196] 0
Mtani kwenye hilobnakuunga mkono kile kitoto kipuuzi sana Nina Imani kma tungeshirikiana na watani zetu game ya dar mwarabu alikuwa anakufa nyingi sana ndio basi tenaKwa nia njema kabisa unaweza kuitakia Yanga ushindi kwakuwa ni timu ya nyumbani lakini msemaji wao na sehemu kubwa ya mashabiki wamejawa na ujinga mwingi sana!
Anyway nawaombea ushindi.. Akishinda Yanga imeshinda TanzaniaView attachment 2644122
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwabonda waarabu naomba Kwa heshima ya makolo urudi kwenye jina lako [emoji23][emoji16]AL HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIQمسسوينينينثنثنثنيينثتبنبنيتيتينيتينيننينييتتيننبنبنينتتتطتطتطرربتبذتتينببتطوينينثنينتطستينينطتظريرثتبننيتنMMMWAMNYETO MOCHWARI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Baada ya kuwabonda waarabu naomba Kwa heshima ya makolo urudi kwenye jina lako [emoji23][emoji16]