FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Ni mechi ya fainali ya kombe la shirikisho barani mkondo wa pili, ambapo wenyeji USM Algier itaikaribisha Yanga katika uwanja wa July 5.

Mchezo wa kwanza uliisha kwa Yanga kufungwa 2-1 pale Benjamin Mkapa Stadium wiki moja iliyopita.

Ni mchezo wa kufa au kupona, Yanga inahitaji ushindi ili kuweza kuweka matumaini ya kutwaa taji. Mechi itapigwa saa 4:00 usiku
 
Kipindi kile walikula mbao 4 na leo hii wala hatujui yatapungua ama yatazidi.

دعونا نطلب من الله أن يعطيهم قدر ما يستطيعون
 
Mzee kuna mwenzako keshaanzisha uzi huu toka saa 7 usiku. Ufute tu au uunganishe kule kwa mwenzio. Kwa leo, umechelewa kuanzisha uzi.
 
Mtani kwenye hilobnakuunga mkono kile kitoto kipuuzi sana Nina Imani kma tungeshirikiana na watani zetu game ya dar mwarabu alikuwa anakufa nyingi sana ndio basi tena
 
Baada ya kuwabonda waarabu naomba Kwa heshima ya makolo urudi kwenye jina lako [emoji23][emoji16]
 
Baada ya kuwabonda waarabu naomba Kwa heshima ya makolo urudi kwenye jina lako [emoji23][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi waarabu wa Algeria wala hatuna uwezo wowote dimbani, kazi ni kuwapa tu kinachostahiki Uto.

نعطي الإنسان جرعة حسب مرضه ، اليوم وظيفة واحدة فقط
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…