FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

July 5
Wazee wa medali [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
YANGA 💛💚 CHAMPIONS
Waarabu na wake zao Simba leo walikuwa wanaBleed dakika 90 YANGA anawakanda tu hajali damu...
 
Umefika kwa kucheza na team dhaifu zinazoshuka madaraja katika ligi zao husika, kule kiumeni hakuna huo upumbavu ndiomaana hata makundi hauwezi kunusa.
Nakuja huko kwani huku nimenusa vip?

Yaani ukiona Yanga kaingia Robo ujue fainal ina muhusu, wewe uwezo wako ni robo iwe shirikisho au champions.
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
punguza makasiriko ww si ungebeba kombe mnatuletea shanga za shingoni kututambia?
 
Kwasababu walianza kiupa hadhi michuano ya CAFCC sawa na ile ya CAFCL.

Ingekuwa ni kuunajisi mchezo wa mpira.
Kolo ni kolo tu... hoja zenu sijui mnazitolea wapi... uzuri wa mashabiki wa Yanga si waongeaji... na nyuso zao zina furaha wakati wote... ongeeni uongo wenu mkichoka mtanyamaza... ila ukweli mna wivu sana juu ya mafanikio ya Yanga
 
Andikaaa kwa kifupiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna tofauti na wasiochukua kombeee. Mlipishana muda tyuuh.

Punguzaa munkariiii, huu mchezo hauhitaji hasiraaa, tukutanee mwakaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kombe kubwa ni moja tu CAF champion league na lapili ndo hilo litaanza CAF super league. Ilo la kwenu ni la maluza
Ujinga mwingine banah!, Kombe la malooser linakufanya umuache mkeo au samahani itkuwa mmeo uje ubishane hapa?, Au usubiri mpka saa 4 kuangalia malooser?. Sakho alipochukua kiatu Cha ufungaji wa bao bora mbona hatukuona mkikiamdikia kachukua kwenye mashindano ya looser?.

Nakukbusha ukisikia umelowa nyuma kumbuka ni bao la Djuma shabani dhidi ya mmeo mwarabu!🙄😅.
 
Nani akasirike nime fikia level ambayo sijawahi kuifikia sasa nikasirike ili iweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…