dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Kufaulu wamefaulu ila tu kombi haijabalance..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya yanga kakosa ubingwa wewe timu yako imechukua nini?. Au mnalazimisha furaha 😅
Mpira mahesabu jomba.Hiki ndicho kinachowaumiza zaidi mambumbumbu ya Simba.
Yanga haiwezi kosekana katika top 10 kwenye hiyo rankUsitumie hisia..Tusibiri CAF wenye mpira wao Watoe Rankings za Vilabu Bora Afrika tuone klabu ipi ni Zaidi Afrika Mashariki na Kati baada ya Mashindano yote kuisha.!
Unaandika kwa uchunguu sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani huku nilipo nishawahi kufika robo ,msimu huu nimefika robo na fanali nimefika.
So huko CAFCC nikifika robo ,ujue ndio fainali.
Wewe endelea kushiriki na kuishia robo mwisho wa siku itafahamika nani anahesabu nazi na nani anahesabu makuti.
Ndio tayari mwenzako.
1.Nimefika fainali.
2.Nimeshika nafasi ya pili.
3.Nina medali.
4.Nimetoa mfungaji bora.
5.Kipa bora.
Ni rekodi ambayo inawezekana husije uiona ila si wenzako moments hii yumeiona bila kuota moto katikati ya uwanja.
Unajua huu mchezo umeangaliwa na watu wangapi duniani ?? Hii ndio maana halisi ya visit Tanzania na kupeperusha bendera na sio kuvaa jezi tu ya visit Tanzania nchi imetangazwa ,kwa Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imecheza fainali ya afrika kwa level ya Makombe makubwaIfike hatua tuwe serious kama taifa gharama zilizotumiwa na serikali kwenye huu upupu tungekuwa na kituo cha afya kama si shule
Nilikuambia mbovu atatolewa na aliye mbovu zaidi yakeLigi ya Algeria View attachment 2645290
Lakini si nyie mliosema YANGA anafungwa 4:0, mara 5, mara 7...??Mpira mahesabu jomba.
Msitafute comfort kwenye vitu vidogo ambavyo haviwezi kuondoa maana ya kilichotokea.
Sisi tulipowapiga goli 2 kwenu kwa Mkapa pale tukawa tushafunga na zipu
Huku tulijia tu kuwa mtakamia ila kibarua cha kupachika bao 2 lazima kiwe mtihani kwenu.
Boss huwa hajichoshi na wala hafanyi kazi ngumu na ndio maana hakuhitaji hamasa ya kuahidiwa pesa endapo atachukua.
Kavaeni hizo medali shingoni, ambazo hazina utifauti na vile vitambulisho vya Magufuli aliowapa wajasiriamali wavae shingoni
Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu
Hizi ndio akili unajaribu kuonyesha hapa?We Jamaa huna akili... kama CAFCC ingekuwa si michuano ya maana, msingekaa napa kuomba Yanga asiwe Bingwa huku mkimsifu USMA na kufurahia ushindi wake... kama mashabiki wenyewe wa makolo mtaendelea kuwa na akili za hivi... mtaishiaga robo finali na kujiambia kwamba ninyi ni bora.... acheni ukolo, sio kila wakati mjitoe akili
Mchezaji gani wa Simba alitoka na tuzo? Najua Mwaka jana Sakho alipata goli bora la CAF Confederation, lakini mwaka huu imekuwaje ?Simba kaishia robo kapewa 1.1b
Super Cup ya wapi?walishapanga mipango ya kwenda CAF Super Cup na Club World Cup. Tuwaambie waende tu maana ile Dreamliner inafika popote duniani 🤣😂🤣
Mtateseka sana mbwa nyinyi.Mpira mahesabu jomba.
Msitafute comfort kwenye vitu vidogo ambavyo haviwezi kuondoa maana ya kilichotokea.
Sisi tulipowapiga goli 2 kwenu kwa Mkapa pale tukawa tushafunga na zipu
Huku tulijia tu kuwa mtakamia ila kibarua cha kupachika bao 2 lazima kiwe mtihani kwenu.
Boss huwa hajichoshi na wala hafanyi kazi ngumu na ndio maana hakuhitaji hamasa ya kuahidiwa pesa endapo atachukua.
Kavaeni hizo medali shingoni, ambazo hazina utifauti na vile vitambulisho vya Magufuli aliowapa wajasiriamali wavae shingoni
Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu
Hawana akili... mpira hawajui... yaani hakuna wanachokijuaUnajua huu mchezo umeangaliwa na watu wangapi ?? Hii ndio maana halisi ya visit Tanzania na kupeperusha bendera na sio kuvaa jezi tu ya visit Tanzania nchi imetangazwa ,kwa Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imecheza fainali ya afrika kwa level ya Makombe makubwa
Kwani wakina nani waliosema Wydad atamfunga Simba 8-0?Lakini si nyie mliosema YANGA anafungwa 4:0, mara 5, mara 7...??
Uchungu unaupimaje wakati nimeshuhudia moja ya moments bora ya club yangu kuliko moments zote zilizotokea Yanga na ktk historia ya mpira,ambayo ww hujawahi kui9na na inawezekana husije kuiona.Unaandika kwa uchunguu sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mafanikio sio kuwa mshindi wa 2, huna tofauti na wasiochukua kombee.
Mafanikio binafsi ya Diarra na mayelee hayatusumbuiiiiii.
Poleeeeeeee
Na wale walioloweshwa kwa mkapa unawaambiaje?Mijitu ilifungwa Morocco ikaja na na kelele eti za "kufa kiume" kufa kiume wakati yaliloweshwa. 😅
Kwa hapa Tz hakuna kombe ambalo yanga analo na Simba Sc hana, kwanini nisifurahi Yanga Sc kukosa hilo kombe ambalo Simba Sc hana?Haya yanga kakosa ubingwa wewe timu yako imechukua nini?. Au mnalazimisha furaha [emoji28]