FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Hiki ndicho kinachowaumiza zaidi mambumbumbu ya Simba.
Mpira mahesabu jomba.

Msitafute comfort kwenye vitu vidogo ambavyo haviwezi kuondoa maana ya kilichotokea.

Sisi tulipowapiga goli 2 kwenu kwa Mkapa pale tukawa tushafunga na zipu

Huku tulijia tu kuwa mtakamia ila kibarua cha kupachika bao 2 lazima kiwe mtihani kwenu.

Boss huwa hajichoshi na wala hafanyi kazi ngumu na ndio maana hakuhitaji hamasa ya kuahidiwa pesa endapo atachukua.

Kavaeni hizo medali shingoni, ambazo hazina utifauti na vile vitambulisho vya Magufuli aliowapa wajasiriamali wavae shingoni

Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu
 
Usitumie hisia..Tusibiri CAF wenye mpira wao Watoe Rankings za Vilabu Bora Afrika tuone klabu ipi ni Zaidi Afrika Mashariki na Kati baada ya Mashindano yote kuisha.!
Yanga haiwezi kosekana katika top 10 kwenye hiyo rank
 
Kwani huku nilipo nishawahi kufika robo ,msimu huu nimefika robo na fanali nimefika.

So huko CAFCC nikifika robo ,ujue ndio fainali.

Wewe endelea kushiriki na kuishia robo mwisho wa siku itafahamika nani anahesabu nazi na nani anahesabu makuti.

Ndio tayari mwenzako.
1.Nimefika fainali.
2.Nimeshika nafasi ya pili.
3.Nina medali.
4.Nimetoa mfungaji bora.
5.Kipa bora.

Ni rekodi ambayo inawezekana husije uiona ila si wenzako moments hii yumeiona bila kuota moto katikati ya uwanja.
Unaandika kwa uchunguu sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mafanikio sio kuwa mshindi wa 2, huna tofauti na wasiochukua kombee.
Mafanikio binafsi ya Diarra na mayelee hayatusumbuiiiiii.

Poleeeeeeee
 
Ifike hatua tuwe serious kama taifa gharama zilizotumiwa na serikali kwenye huu upupu tungekuwa na kituo cha afya kama si shule
Unajua huu mchezo umeangaliwa na watu wangapi duniani ?? Hii ndio maana halisi ya visit Tanzania na kupeperusha bendera na sio kuvaa jezi tu ya visit Tanzania nchi imetangazwa ,kwa Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imecheza fainali ya afrika kwa level ya Makombe makubwa
 
Mpira mahesabu jomba.

Msitafute comfort kwenye vitu vidogo ambavyo haviwezi kuondoa maana ya kilichotokea.

Sisi tulipowapiga goli 2 kwenu kwa Mkapa pale tukawa tushafunga na zipu

Huku tulijia tu kuwa mtakamia ila kibarua cha kupachika bao 2 lazima kiwe mtihani kwenu.

Boss huwa hajichoshi na wala hafanyi kazi ngumu na ndio maana hakuhitaji hamasa ya kuahidiwa pesa endapo atachukua.

Kavaeni hizo medali shingoni, ambazo hazina utifauti na vile vitambulisho vya Magufuli aliowapa wajasiriamali wavae shingoni

Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu
Lakini si nyie mliosema YANGA anafungwa 4:0, mara 5, mara 7...??
 
Ukifuatilia upuuzi wa washabiki maandazi wa Simba ukamuuliza Kwanini unafurahia yanga kutochukua ubingwa?, Majibu yao ni eti "tusingepumua mtani" 😅😅 kwahiyo mlitakq yanga acheze na mechi zenu ili mcheze wote fainal?.
 
We Jamaa huna akili... kama CAFCC ingekuwa si michuano ya maana, msingekaa napa kuomba Yanga asiwe Bingwa huku mkimsifu USMA na kufurahia ushindi wake... kama mashabiki wenyewe wa makolo mtaendelea kuwa na akili za hivi... mtaishiaga robo finali na kujiambia kwamba ninyi ni bora.... acheni ukolo, sio kila wakati mjitoe akili
Hizi ndio akili unajaribu kuonyesha hapa?

[emoji23][emoji23]
 
walishapanga mipango ya kwenda CAF Super Cup na Club World Cup. Tuwaambie waende tu maana ile Dreamliner inafika popote duniani 🤣😂🤣
Super Cup ya wapi?

Labda kama ya Mwakalebela

Au super wakimaanisha mchele ila tu sisi tumetafsiri vibaya?
 
Mpira mahesabu jomba.

Msitafute comfort kwenye vitu vidogo ambavyo haviwezi kuondoa maana ya kilichotokea.

Sisi tulipowapiga goli 2 kwenu kwa Mkapa pale tukawa tushafunga na zipu

Huku tulijia tu kuwa mtakamia ila kibarua cha kupachika bao 2 lazima kiwe mtihani kwenu.

Boss huwa hajichoshi na wala hafanyi kazi ngumu na ndio maana hakuhitaji hamasa ya kuahidiwa pesa endapo atachukua.

Kavaeni hizo medali shingoni, ambazo hazina utifauti na vile vitambulisho vya Magufuli aliowapa wajasiriamali wavae shingoni

Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu
Mtateseka sana mbwa nyinyi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685829131664.jpg
    FB_IMG_1685829131664.jpg
    45.6 KB · Views: 1
Unajua huu mchezo umeangaliwa na watu wangapi ?? Hii ndio maana halisi ya visit Tanzania na kupeperusha bendera na sio kuvaa jezi tu ya visit Tanzania nchi imetangazwa ,kwa Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imecheza fainali ya afrika kwa level ya Makombe makubwa
Hawana akili... mpira hawajui... yaani hakuna wanachokijua
 
Lakini si nyie mliosema YANGA anafungwa 4:0, mara 5, mara 7...??
Kwani wakina nani waliosema Wydad atamfunga Simba 8-0?

Au umesahu?

Naweza nikakukumbusha humu tena kwa vivid evidence kama ukitaka lakini
 
Unaandika kwa uchunguu sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mafanikio sio kuwa mshindi wa 2, huna tofauti na wasiochukua kombee.
Mafanikio binafsi ya Diarra na mayelee hayatusumbuiiiiii.

Poleeeeeeee
Uchungu unaupimaje wakati nimeshuhudia moja ya moments bora ya club yangu kuliko moments zote zilizotokea Yanga na ktk historia ya mpira,ambayo ww hujawahi kui9na na inawezekana husije kuiona.

Hao wengine wa tatu na kuendelea wana medali.Hii moment Mwakarobo inawezekana husiione kabisa, ila sisi Yanga tuna cha kusimulia na CAF wanatutambua sisi ndio wa kwanza kufikia level hii.
 
Haya yanga kakosa ubingwa wewe timu yako imechukua nini?. Au mnalazimisha furaha [emoji28]
Kwa hapa Tz hakuna kombe ambalo yanga analo na Simba Sc hana, kwanini nisifurahi Yanga Sc kukosa hilo kombe ambalo Simba Sc hana?

Ligi, lile la Azam, chukueni wala sisi hatuna shida.

[emoji23]
 
Back
Top Bottom