DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Wana uchiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijaribu ikashindikanaHome and away ife na goal la ugenin life huu usenge yani unashinda alafu kombe anachukua mwingine
July 5
Wazee wa medali [emoji23][emoji23][emoji23]
Nina rahaaaaaaa sanaaaaaaa
Man city kabeba FA, na USMA kachukua CAFCC
Nakuja huko kwani huku nimenusa vip?Umefika kwa kucheza na team dhaifu zinazoshuka madaraja katika ligi zao husika, kule kiumeni hakuna huo upumbavu ndiomaana hata makundi hauwezi kunusa.
Qqqmmmkkk leo ndio leo
punguza makasiriko ww si ungebeba kombe mnatuletea shanga za shingoni kututambia?Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
Kolo ni kolo tu... hoja zenu sijui mnazitolea wapi... uzuri wa mashabiki wa Yanga si waongeaji... na nyuso zao zina furaha wakati wote... ongeeni uongo wenu mkichoka mtanyamaza... ila ukweli mna wivu sana juu ya mafanikio ya YangaKwasababu walianza kiupa hadhi michuano ya CAFCC sawa na ile ya CAFCL.
Ingekuwa ni kuunajisi mchezo wa mpira.
Andikaaa kwa kifupiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchungu unaupimaje wakati nimeshuhudia moja ya moments bora ya club yangu kuliko moments zote zilizotokea Yanga na ktk historia ya mpira,ambayo ww hujawahi kui9na na inawezekana husije kuiona.
Hao wengine wa tatu na kuendelea wana medali.Hii moment Mwakarobo inawezekana husiione kabisa, ila sisi Yanga tuna cha kusimulia na CAF wanatutambua sisi ndio wa kwanza kufikia level hii.
chuma cha kwanzaaa
Makolo Kimyaaaaaaaaaaaa!!
Ujinga mwingine banah!, Kombe la malooser linakufanya umuache mkeo au samahani itkuwa mmeo uje ubishane hapa?, Au usubiri mpka saa 4 kuangalia malooser?. Sakho alipochukua kiatu Cha ufungaji wa bao bora mbona hatukuona mkikiamdikia kachukua kwenye mashindano ya looser?.Kombe kubwa ni moja tu CAF champion league na lapili ndo hilo litaanza CAF super league. Ilo la kwenu ni la maluza
Nani akasirike nime fikia level ambayo sijawahi kuifikia sasa nikasirike ili iweje.Andikaaa kwa kifupiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna tofauti na wasiochukua kombeee. Mlipishana muda tyuuh.
Punguzaa munkariiii, huu mchezo hauhitaji hasiraaa, tukutanee mwakaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ya moto kudadeq