FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mie tu sielewi au???

Yaani yanga kashinda??

Atapata kombe???

Maana watu wanasema yanga kapigwa sijui na kombe hapati???


Nipeni ufafanuzi
Teh teh teh 😂😂😂 women mnafurahisha kweli kweli..

Yanga kashinda ugenini 1-0 ila mpinzani wake alimfunga Yanga 2-1 hapa Dar hivyo matokeo jumla ni 2-2.

ila mpinzani wake kabeba kombe kwani alimfunga Yanga magoli mawili (2) hapa Dar wakati Yanga kapati goli moja (1) tu ugenini.
 
Fainali iwe mechi moja
Walifanya hivyo baada ya mechi ya fainali kati ya Esperance na Wydad kuvunjika ila baadae walirudisha tena fainali mbili.

Hii ni baada ya kupanga fainali ifanyike uwanja huo huo wa Mohammed (V) waliocheza Yanga halafu ikatokea Wydad na Al ahly wakatinga fainali, sasa ili kubalance mechi ikabidi warudishe tu fainali mbili (2).
 
Dunia ya mpira Jana imetambua uwepo wa Tanzania...

Hongereni watani bahati haikua yenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povuuuuuu jingiiii, USMA wana balaaaaaaaah!!!
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
 
sema mwanangu @Suray2019 paragraph yako ya mwisho tamu sana... FT yanga ameshinda ila hajachukua ubingwa. Hahaha nilisema jana namna pekee ya yanga kulichukua hili kombe ni kwa kuliiba tu.
 
Yanga amekosa kombe kwasababu za kikanuni na sio matokeo ya uwanjani!, Tumewapelekea Moto waume zenu mpaka wakatamani mechi iishe...😅. Ila najua na wewe hicho kimoja bado kimekulowanisha kiboxer? Au natania ndgu yangu🙄
Anayecheka siku zote ni yule anayecheka mwisho, wewe umepeleka moto uarabuni na wao walipeleka moto tz, anaejua zaidi kawa bingwa
 
Popote ilipo mwana thimbaaaaa agiza Pepsi baridiiiii sio bia nakuja lipa bili, tusherehekee kombe la kufa kiume
 
Ndiyo naamka mida hii sikufanikiwa kuangalia mpira jana vipi matokeo huko ndege yetu inarudi na kombe au aibu!?
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
we ulivokua unawashangilia wydad nan alikuingilia ko wew ulikua unashbkia wanawake pale au , kipindi nyie mnaenda eapot kuwapokea wapinzan walikua n kina nan c wanaume wenzenu. Hahaha punguza makasiriko mtoto wa kiume unakua kama pisi bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…