Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Ikiwa ndio liĺikuwa lengo lenu, sawa ni heshima kwenuKuvaa medali 🏅🏅 ya mshindi wa pili ni heshima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa ndio liĺikuwa lengo lenu, sawa ni heshima kwenuKuvaa medali 🏅🏅 ya mshindi wa pili ni heshima.
Teh teh teh 😂😂😂 women mnafurahisha kweli kweli..Mie tu sielewi au???
Yaani yanga kashinda??
Atapata kombe???
Maana watu wanasema yanga kapigwa sijui na kombe hapati???
Nipeni ufafanuzi
AhahahahahahaSitaki kujipa pressure kama ya 1st Leg maana ilitaka kuniua, leo nimepima kabisa najua unasoma juu 146/99 lakini sitaki izidi, so nimejitune yanga iwe wafungwe au washinde, tulipofika ni mafanikio tosha kabisa.
Walifanya hivyo baada ya mechi ya fainali kati ya Esperance na Wydad kuvunjika ila baadae walirudisha tena fainali mbili.Fainali iwe mechi moja
mimi yanga naijua.wala hawanipi shida.hawana timuJifunze kukubali uwezo wa mwenzako.. hakuna mwenye haki ya kuwa bora kikubwa uwekezaji tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia ya mpira Jana imetambua uwepo wa Tanzania...Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, Je kutokana na ulivyouona mchezo wa kwanza unadhani mchezo huu utakuwaje?
Nani unampa nafasi ya kuibuka bingwa?
Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.
View attachment 2645132---
Hali ya Uwanja saa 2 kabla ya mechi
Vikosi vinavyoanza leo
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha USM Alger
Bado dakika chache mtanange huu uanze, kaa hapa nami kwa upates mbalimbali.
Vikosi vimeshaingia Dimbani wa ajili ya kupasha misuli joto
---
Vikosi vimeshaingia dimbani tayari kukiwasha.
Atmosphere ya Uwanja ni hatari sana. Hawa waarabu wamepiga fataki za kufa mtu mpaka uwanja unafuka Moshi
- Mpira umeanza kwa kasi huku Yanga wakilifikia lango la Algers mapema bila kupata bao
- Yanga wanapata penati dakika ya 5 Djuma amepewa aipige
- Gooooool Yanga wanatangulia hapa...
- Timu zinashambuliana kwa zamu sasa ni dakika ya 15
- Dk 20 bado timu zinashambuliana huku umakini ukiongezeka. Yanga bado anaongoza bado Moja la Djuma Shabaan
- Dakika 35 Yanga wanasukuma mashambulizi kuelekea lango la USM Alger
- Dakika ya 39 ni Water Break hapa
- Dakika ya 45 zimekamilika zimeongezwa dakika 5 hapa
- USM Alger wanapa faulo katika eneo zuri. Diara anaokoa kwenye chaki.
- Mapumziko Yanga wanaenda wakiwa mbele ugenini
- Kipindi cha pili kimeanza
- USM Alger Wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili
- Dakika ya 54 bado timu zinashambuliana
- Dakika ya 56 USM Alger wanapata mkwaju wa penati..
- Diaraaaaa anadaka hapa
- Dakika ya 61 anatoka Kisinda anaingia Morrison
- Dk 65 yanga wanapeleka mashambulizi ya kasi
- Dk 71 anaingia Aziz Ki anatoka Musonda
- Dk 80 bado mechi Ina kasi kubwa timu zote zinashambuliana
- Mzize na Farid Mussa wameingia Lomalisa ametoka
- Dk 90 zimeongezwa 6
FT Yanga ameshinda lakini hajafanikiwa kutwaa ubingwa
Nyie hata hizo medali mnazo sasa🤣🤣🤣MEDALI BILA KOMBE NI SAWA NA KUVAA HIRIZI TU[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povuuuuuu jingiiii, USMA wana balaaaaaaaah!!!
Kuimba kupokezana kakaMchezaji gani wa Simba alitoka na tuzo? Najua Mwaka jana Sakho alipata goli bora la CAF Confederation, lakini mwaka huu imekuwaje ?
Anayecheka siku zote ni yule anayecheka mwisho, wewe umepeleka moto uarabuni na wao walipeleka moto tz, anaejua zaidi kawa bingwaYanga amekosa kombe kwasababu za kikanuni na sio matokeo ya uwanjani!, Tumewapelekea Moto waume zenu mpaka wakatamani mechi iishe...😅. Ila najua na wewe hicho kimoja bado kimekulowanisha kiboxer? Au natania ndgu yangu🙄
. Tumepata furaha ya kuwacheka. Ivi unajua sie kufika pale robo tumelipwa shngp.. Acha makasiriko mkuuYanga wamepata 1m US$ ,Nyinyi mmepata nini?
Kwani simba hajawahi mfunga muarabu kwao?Habari za Muarabu hafungiki kwao YANGA haziwahusu...
Hunishindi mimi mkuu. Wangesumbua sana sasa kimyaaaaLeo nimefurahi xana utopolo kushindwa kubeba kombe
we ulivokua unawashangilia wydad nan alikuingilia ko wew ulikua unashbkia wanawake pale au , kipindi nyie mnaenda eapot kuwapokea wapinzan walikua n kina nan c wanaume wenzenu. Hahaha punguza makasiriko mtoto wa kiume unakua kama pisi bnMakolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...