FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Vijana wamejitahidi aisee ni goli la ugenini tu ndio limezima ndoto.

Na safu ya ushambuliaji ilikua butu kabisa, kipa wa Usma wala hajapata shurba..
Azizi ki kama kawaida yake, yupo kama hayupo.
 
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!

Kosa lenu ni kuruhusu magoli ugenini mkabisha oh tuanpindua meza. Mistake mlianzia nyumbani haijalish alger ni timu mbov kias gani
 
MEDALI FC MSIZANI TUMELALA TUPO MACHO[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] washindi wa nn sasa?? Ushakunywa chai kwan? Au ndo hujisikii hamu ya kula?? Woiiiiii
 
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
Wao waarabu ndo hawakua na bahati kwao, kukosa penalty sio jambo dogo, famchezo nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wamejitahidi aisee ni goli la ugenini tu ndio limezima ndoto.

Na safu ya ushambuliaji ilikua butu kabisa, kipa wa Usma wala hajapata shurba..
Azizi ki kama kawaida yake, yupo kama hayupo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziz Kii bhana, afu analipwa pesa ndefuuu mweeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…