3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ndiyo wamelibeba huko!?Popote ilipo mwana thimbaaaaa agiza Pepsi baridiiiii sio bia nakuja lipa bili, tusherehekee kombe la kufa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wamelibeba huko!?Popote ilipo mwana thimbaaaaa agiza Pepsi baridiiiii sio bia nakuja lipa bili, tusherehekee kombe la kufa kiume
Ndege inarudi na kikwapa tu maana hawajaoga wala kupiga mswaki ndege yote inanuka kama zizi la nguruweNdiyo naamka mida hii sikufanikiwa kuangalia mpira jana vipi matokeo huko ndege yetu inarudi na kombe au aibu!?
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
All the best USM🙏[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwenye fainali?Kwani simba hajawahi mfunga muarabu kwao?
Hapana Mimi sio shoga,shoga ni wewe na waarabu ,unaposhobokea waarabu wewe ni mfiraji/mfirwaji!?Wewe ni shoga? unavyoshobokea wazungu na mayahudi wewe ni mzungu au myahudi?
Wewe unaeshobokea wazungu,hua wanakukanda?Hapana Mimi sio shoga,shoga ni wewe na waarabu ,unaposhobokea waarabu wewe ni mfiraji/mfirwaji!?
Timu lenu limewashinda kabisa kuwapa furaha [emoji848][emoji848]Popote ilipo mwana thimbaaaaa agiza Pepsi baridiiiii sio bia nakuja lipa bili, tusherehekee kombe la kufa kiume
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿Wewe unaeshobokea wazungu,hua wanakukanda?
PUMBAUVU. Kwenye mambo muhimu yanyohusu timu zote, ondoa ushabiki maandaziNa Bado....Papapapaaaa....Fyuuu.,!
Dk 180
Dk 90 za Kuzitumia kila mmoja na Kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujaaaWewe shida yako huna mtu wa kukupelekea moto...[emoji91][emoji91][emoji91]
Em come PM..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] washindi wa nn sasa?? Ushakunywa chai kwan? Au ndo hujisikii hamu ya kula?? WoiiiiiiHabarini za Leo..Binafs sina ninachowadai wachezaji wa yanga benchi la ufundi na viongozi wa yanga...hapa tulipoishia ni kwa uwezo wa Mungu Wachezaji na viongozi wa Yanga..
Tujipange kwa msimu ujao, naamini tutakuwa bora sana kuliko msimu huu,
Yanga ni timu Bora sana Africa, Yanga imeonyesha ukubwa wake jinsi ya kumpiga mwarabu kwao mifupa uliwashindwa timu nyingi na hawa ndugu zetu Makolo, najua dhihaka imekuwa kubwa toka kwa hawa ndugu zetu waliofeli, tunajua nguvu ya dhihaka zao zinatoka na msongo wa mawazo baada ya kuona tuna timu Bora sana.
Ndugu zangu pigeni mkono kufuni na kusema sisi ni washindi.
Wao waarabu ndo hawakua na bahati kwao, kukosa penalty sio jambo dogo, famchezo nnUkweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziz Kii bhana, afu analipwa pesa ndefuuu mweeeehVijana wamejitahidi aisee ni goli la ugenini tu ndio limezima ndoto.
Na safu ya ushambuliaji ilikua butu kabisa, kipa wa Usma wala hajapata shurba..
Azizi ki kama kawaida yake, yupo kama hayupo.
tulia wewe boya ulitaka mchukue kombe mje kututambia mitaani? Sasa nasemaje nasemaje NIMEFURAHI SAANA