Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Imechemka Mdogo wangu..Mtaniiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AaahaaaaaaKukosa makombe yote katika msimu ni kudhalilika tosha kabisa
kutokuwepo kwa morrison na aziz ki nifuraha kwangu kama mshabiki wa simba hao ndio wachezaji wenye hatari zaidi pale yangaTwende zetu Makamanda [emoji123]View attachment 2645112
Wanaanzia Subkutokuwepo kwa morrison na aziz ki nifuraha kwangu kama mshabiki wa simba hao ndio wachezaji wenye hatari zaidi pale yanga
Kama mna shida na hiki kikosi mseme mapema.Let's go teamView attachment 2645111
Kwasababu Azizi Ki leo hajaanza mnaweza mkasumbua sumbua mkapigwa 3 kwa shidaLet's go teamView attachment 2645111
Malizia... na njaaaYanga anashinda
usijal utawaona wakifungaNacheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa Yanga wameususa huu uzi...
Wanajua watakachopatana nacho huko.[emoji3]