FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Vimba mwananchi husikae kinyonge kwani.

1.Yanga ndio timu pekee iliyobaki ktk michuano ya CAF kutoka kusini mwa Sahara mwaka huu.

2.CAF anaitambua Yanga ni timu ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainali za michuano ya CAF.

3.Na ndio timu ya Kwanza kutoka Tanzania kuvaa medali ya CAF.

Vimba husike kinyonge,vimba wewe sio Mwakarobo.

Yaani nchi zote kutoka kusini mwa jangwa la Sahara sasa hivi wanaiombea Yanga ishinde isipokuwa wakina Mwakarobo ambao tushawazoea.
 
Usisahau kuwa hakuna team yoyote uliyowahi kuingia fainali kisha ikaanza kwa kupoteza mechi yake ya nyumabani isipokuwa Yanga.

Kuna uwezekano ikapigwa nje-ndani na kuandika record ya kipekee.
 
mashabiki wa pande zile ni wa tofauti kabisa vibe lao dah mchezaj ukikaa vibaya wanakutoa mchezon
 
Usisahau kuwa hakuna team yoyote uliyowahi kuingia fainali kisha ikaanza kwa kupoteza mechi yake ya nyumabani isipokuwa Yanga.

Kuna uwezekano ikapigwa nje-ndani na kuandika record ya kipekee.
Tuma salamu kwa watu watatu.
 
Back
Top Bottom