Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morison akiokea bench ndio anakua na impact inayoinekanaMorisson vipiiii tena ila nabi kiboko kelele zote kagoma kumuanzisha morrison
Naunga mkonyo hojaIle channel ya Youtube iliyorusha mechi iliyopita, leo haifanyi hivyo?
Kam ipo naombeni msogeze link hapa.
Walete link tuangalie game.Naunga mkonyo hoja
Nasikia wana kombe la twitaIngekua uzi unacheza Simba angekua bingwa wa dunia
Ubingwa????Tupo mwanzo mwisho na ubingwa tunauleta home. Achana na hao mashabiki wa fungulia mbwa.
Tunajua kupuliza yale madude tu.Watz hatujui shangilia
Usisahau kuwa hakuna team yoyote uliyowahi kuingia fainali kisha ikaanza kwa kupoteza mechi yake ya nyumabani isipokuwa Yanga.Vimba mwananchi husikae kinyonge kwani.
1.Yanga ndio timu pekee iliyobaki ktk michuano ya CAF kutoka kusini mwa Sahara mwaka huu.
2.CAF anaitambua Yanga ni timu ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainali za michuano ya CAF.
3.Na ndio timu ya Kwanza kutoka Tanzania kuvaa medali ya CAF.
Vimba husike kinyonge,vimba wewe sio Mwakarobo.
Yaani nchi zote kutoka kusini mwa jangwa la Sahara sasa hivi wanaiombea Yanga ishinde isipokuwa wakina Mwakarobo ambao tushawazoea.
Huu wa leoUbingwa????
Au unamaanisha Azam Federation Cup?
Tuma salamu kwa watu watatu.Usisahau kuwa hakuna team yoyote uliyowahi kuingia fainali kisha ikaanza kwa kupoteza mechi yake ya nyumabani isipokuwa Yanga.
Kuna uwezekano ikapigwa nje-ndani na kuandika record ya kipekee.