Mimi nawajua mashabiki wenye kuleta mabishano kwa upinzani kupitia utani.Mimi nafanya utani, ila deep down nilitamani sana hivi vilabu vyetu vifike final na kybeba ndoo.
Kwa Simba kushiriki Super Cup no hard feelings kwa kweli. Kwanza tunatakiwa kuwa on top then ushindani wetu uendelee.
Huwa ndiyo utani, utani hautakiwa kuwa au kujenga misingi ya chuki bali misingi ya kupeana changamoto na kutiana ndimu ili kuchangamka na kufanya vyema.Mimi nawajua mashabiki wenye kuleta mabishano kwa upinzani kupitia utani.
They never held grudges on their souls and that's how utani is.
Na kuna lile kundi la kuchukua utani kama kitu personal unakuta mtu anakufurumushia mitusi mpaka unashangaa imekuwaje
Ule uzi wa takwimu za marasta wawili?Wewe nimeona reply yako kwenye uzi wenu ule wakishamba nimeichunia.
Kama wewe ulivyoichunia reply yangu Aprili 16 baada ya Kibu kufanya yake.
Lala kaka utakufa na anxienty disorder, kubalini muda wa Yanga huu kutamba pia mtajifunza namna ya kuhandle mambo mbalimbali kwenye club yenu.Eeeh mwanangu liuzi la miaka 2 nyuma sa tunajadili nini ambacho hakiishagi?
Na wewe hii umejuaje kuwa yanga anaanzia ugenini?Sidhani kama wako sahihi, Yanga inaanzia ugenini inamalizia fainali kwa Mkapa.
Wamesahau usm alger kapigwa na marumoUmetoka kwa pyramids, ukaja kwa Marumo saivi umehamia kwa Asec na USM. Unaangaika sana mkuu, kila timu inayocheza na Yanga utaiona mbovu.
Mpaka upate unachokitaka? 😆Kama kawaida nakuja na USM Algier ni mwendo wa kuhama tu.
Mm nlikiwa nawaombea Hawa waarabu. Kwisha kazi yaoWamesahau usm alger kapigwa na marumo
Umeanza kuipenda kabla haujavunja ungo?Kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni USM ALGER
اثقليثصصصصصصسسدففف NTWA BA
Hii aibu mliitia kwenye robo ya conf cup last year tena hapo hapo south na mkafungwa,hata kichaka cha robo klabu bingwa next season tunakitia moto Inshallah kwa usajili ambao tunaoendelea kuufanya mpaka sasa tushasajili 2 top players wa huko wanakotokaCha Club bingwa lini mtakitia moto?
Au njiti zimewaishia?
Shirikisho hilo hilo mliroga kweupee na mkafungwa pa1 na kulitia aibu taifa,shirikisho hilo hilo last season mlishangilia goli la sakho kuwa goli bora,acheni wivu makoloShirikisho haijawahi kuwa kimataifa.
Inabadilisha nini Nilichosema?Shirikisho hilo hilo mliroga kweupee na mkafungwa pa1 na kulitia aibu taifa,shirikisho hilo hilo last season mlishangilia goli la sakho kuwa goli bora,acheni wivu makolo
Uzi wetu? OP ni nani?Wewe nimeona reply yako kwenye uzi wenu ule wakishamba nimeichunia.
Kama wewe ulivyoichunia reply yangu Aprili 16 baada ya Kibu kufanya yake.
Mi huwa sielewi hii CAF ipo Kwa ajili ya kuadhibu weusi kusini mwa Jangwa la Sahara au ni Afrika nzima? Tangu Mechi imeanza Hadi inaisha vitochi vya rangi zote mara nyekundu, mara kijani?Vitochi ni vingi sana sijaelewa na mimi