Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Sawa tutakutana nayo FAINAL timu moja wapo halafu tutarudi hapa kwenye COMMENT yako hiiTuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tutakutana nayo FAINAL timu moja wapo halafu tutarudi hapa kwenye COMMENT yako hiiTuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Umetoka kwa pyramids, ukaja kwa Marumo saivi umehamia kwa Asec na USM. Unaangaika sana mkuu, kila timu inayocheza na Yanga utaiona mbovu.Tuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Hahaa, nimekumbuka world cup ulivyokua unawasimanga Argentina. Ngoja wakutane na fulani, mwishowe wakabeba kombe. Ndicho kinakukuta tena kwa Yanga!Tuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Unataka kusemaje 🤣🤣🤣🤣USMA nadhani wako vizuri zaidi japo mpira unadunda.
Wanaomwita jamaa kuwa ni hater kumbe wako sahihi sana, jamaa anaonesha wazi wazi kuwa anaichukilia Yanga kama ni timu isiyostahili kuwepo kwenye hiyo fainali. Anaona kama kabahatika vileHuyu Asec aliepigwa na Rivers, Huyo USM nae alipigwa na Marumo...
Mpira hautabiliki hivo
Baada ya mechi ya Yanga kuangukia shirikisho ukatabiri watacheza fainali? Si mambo yakawa wataishia kwa fulani mara kwa fulani. Wewe ni mmoja wa watu walioamini kuwa Yanga atatolewa na MarumoUtakuwa hunifatilii, nilianzia kwenye Al Hilal
Kukaa kimya kunasaidia kuliko kuonesha hisia zilizojaa chuki kwa kila hatua anayopiga Yanga..Sasa we ulitegemea mi niipende timu yako wakati nami nina yangu?