Kwa hiyo hapa hesabu ni Yanga atamfunga huyu Al hilal na Mc alger siyo? Kazi ipo, hapa muombeeni Mazembe afufuke naye asaidie kumpunguza mmoja kasi ila hawaonekani kama ni wepesi sana.hili kundi yanga anavuka
Ni kweli kbs 🤣mpira wa simba huo, mpira wa yanga unaona kabisa pasi zinapigwa na goli linatengenezwa
Kiuhalisia ni "yes"Ikibaki draw hivi Al hilal si atakuwa ameshavuka
Sio kweli anatakiwa ashinde mechi moja kwa ushindi wa goli lolote lile hata ikiwa goli moja na mechi moja pekee ndio inatakiwa ashinde goli 3:0Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa, ugumu unakuja Mazembe inabidi amfunge Mc Alger huko kwao (sio draw).
Hata akitoa draw anakuwa amefuzu.Alhilal anashinda hii game
mkuu amini hao wote wanapigwaKwa hiyo hapa hesabu ni Yanga atamfunga huyu Al hilal na Mc alger siyo? Kazi ipo, hapa muombeeni Mazembe afufuke naye asaidie kumpunguza mmoja kasi ila hawaonekani kama ni wepesi sana.
Hapa Al hila ili awe na amani inabidi ashinde akija kwa watani awe karelax. Adui wa Yanga awe Mc.Hili goli lilishaketa utata kwa kweli.
Maana sasa al hilal inabidi amfunge yanga
Kila la heri kwenu ila ts just football mkuu, kwa hapa mlipo tegemea lolote.mkuu amini hao wote wanapigwa
Mwanzoni mlisema Mazembe atamtandika Yanga saivi mnageuza maneno kuwa Mazembe imejifia. Mashabiki wa Simba mna tabu ya kuhama hama timu.Kwa hiyo hapa hesabu ni Yanga atamfunga huyu Al hilal na Mc alger siyo? Kazi ipo, hapa muombeeni Mazembe afufuke naye asaidie kumpunguza mmoja kasi ila hawaonekani kama ni wepesi sana.
Utakoma,nyau weweRoho imeniuma sana
Hampiti nyie mapaka..nipo pale nimekaa..nyie tegemeeni vya kunyonga yani mnamshabikia leo Alhilal alie washenyenta hahaaabravo anamsubiri nyau ajipigie huko
Alger anamalizia kwa mkapa