FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa, ugumu unakuja Mazembe inabidi amfunge Mc Alger huko kwao (sio draw).
Sio kweli anatakiwa ashinde mechi moja kwa ushindi wa goli lolote lile hata ikiwa goli moja na mechi moja pekee ndio inatakiwa ashinde goli 3:0
 
Kwa hiyo hapa hesabu ni Yanga atamfunga huyu Al hilal na Mc alger siyo? Kazi ipo, hapa muombeeni Mazembe afufuke naye asaidie kumpunguza mmoja kasi ila hawaonekani kama ni wepesi sana.
mkuu amini hao wote wanapigwa
 
Hili goli lilishaketa utata kwa kweli.
Maana sasa al hilal inabidi amfunge yanga
Hapa Al hila ili awe na amani inabidi ashinde akija kwa watani awe karelax. Adui wa Yanga awe Mc.
 
Kwa hiyo hapa hesabu ni Yanga atamfunga huyu Al hilal na Mc alger siyo? Kazi ipo, hapa muombeeni Mazembe afufuke naye asaidie kumpunguza mmoja kasi ila hawaonekani kama ni wepesi sana.
Mwanzoni mlisema Mazembe atamtandika Yanga saivi mnageuza maneno kuwa Mazembe imejifia. Mashabiki wa Simba mna tabu ya kuhama hama timu.
 
Hilal wanapata faul sehemu nzuri sana. Karibu kabisa na box, Hilal wanaweza pata goli hapa.
 
Sema haya matokeo ndio yatawapa zaidi hasira ya kuzidi kukaza
 
Back
Top Bottom