FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Wewe unavyoona Yanga anaweza kumfunga Al Hilal 3-0 ugenini au Hilal wanaweza kukosa point moja kwa Mazembe?
Assumption ni kwamba Mc Alger atapata point 3 kwa Mazembe zitamfanya afikishe point 10 hivyo mshindani wa Yanga kwenye nafasi ya pili ni Mc Alger hivyo Yanga ni lazima ashinde hata kama ni goli moja dhidi ya Al Hilal ili zimfikishe point 7. Game ya mwisho Yanga ana maliza dhidi ya mshindani wake ambapo Yanga ikishinda inakuwa na point sawasawa na mshindani wake. Hivyo ili wafuzu wanatakiwa washinde goli 3:0
 
Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa nae Mazembe amfunge (sio draw).
Mazembe hawezi shinda atakuwa away
 
Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa nae Mazembe amfunge (sio draw).
Duh, haya mazingira magumu. Kwa hiyo hapa mnachoomba ni lazima Mc afungwe au atoe droo.
 
Ishu ni kwamba Yanga akishinda mechi zake je Mazembe anayegawa points hatafungwa na hao?
Hapa ndo Tuki waki waka yenye itikadi kali inapowasili.
 
Back
Top Bottom