ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hapo Yanga inatakiwa amfunge MC kuanzia goal 3Ndio....!
Iwapo Mc Algiers akimdunda Mazembe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Yanga inatakiwa amfunge MC kuanzia goal 3Ndio....!
Iwapo Mc Algiers akimdunda Mazembe!
Ooh, so bado waki waka tuka ipo. Yanga wasikate tamaa, washinde mechi zao.Ndio....!
Iwapo Mc Algiers akimdunda Mazembe!
Karibuni mlipozoea..Mc Alger akishinda hii mechi, nakubali wazi Yanga safari yetu itakuwa imeishia hapa
Ishu ni kwamba Yanga akishinda mechi zake je Mazembe anayegawa points hatafungwa na hao?Kwani matokeo yakibaki hivi Yanga wakashinda mechi zake hata hesabu za waki waka tuka zinakataa?
Assumption ni kwamba Mc Alger atapata point 3 kwa Mazembe zitamfanya afikishe point 10 hivyo mshindani wa Yanga kwenye nafasi ya pili ni Mc Alger hivyo Yanga ni lazima ashinde hata kama ni goli moja dhidi ya Al Hilal ili zimfikishe point 7. Game ya mwisho Yanga ana maliza dhidi ya mshindani wake ambapo Yanga ikishinda inakuwa na point sawasawa na mshindani wake. Hivyo ili wafuzu wanatakiwa washinde goli 3:0Wewe unavyoona Yanga anaweza kumfunga Al Hilal 3-0 ugenini au Hilal wanaweza kukosa point moja kwa Mazembe?
Tuko uwanjaniBravos anacheze lini
Mazembe hawezi shinda atakuwa awayIli yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa nae Mazembe amfunge (sio draw).
Watajifunza kuwa sio kila timu inauwezo WA kufika Mwakalobo🤓🤓Ndio....!
Iwapo Mc Algiers akimdunda Mazembe!
Duh, haya mazingira magumu. Kwa hiyo hapa mnachoomba ni lazima Mc afungwe au atoe droo.Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa nae Mazembe amfunge (sio draw).
Kuwa na huruma basiKaribuni mlipozoea..
Azam sports2Channel gani inaonyesha?
Hapa ndo Tuki waki waka yenye itikadi kali inapowasili.Ishu ni kwamba Yanga akishinda mechi zake je Mazembe anayegawa points hatafungwa na hao?
Weka na matokeo ya Mc Alger na Tp Mazembe, usijifyatue akiliHapo Yanga inatakiwa amfunge MC kuanzia goal 3