FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

anahitaji point 1 tu na magoli walau 3.
ili asifikiwe.
Akipoteza leo, akipoteza kwa Yanga akidroo na Mazembe haipiti.
1000218777.jpg

Hesabu za wapi hizo
 
Msimamo ulivyo, Mc Alger atasonga mbele, Yanga watasonga ugali

1736108536020.png
 
Game ipo live

 
Yaaani mpira wa wenzetu unaona kabisa wanacheza kwa mipango na kulitafuta goli sio wa kwetu cc tunashinda kwa kubahatisha tu🤣
 
Kwani matokeo yakibaki hivi Yanga wakashinda mechi zake hata hesabu za waki waka tuka zinakataa?
Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa, ugumu unakuja Mazembe inabidi amfunge Mc Alger huko kwao (sio draw).
 
Back
Top Bottom