FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Hawa waarabu itakuwa wamepanga matokeo.
Wapange matokeo wakati bado hakuna ambaye kaisha kata tiketi ya kufuzu? Hata hao Al Hilal wenyewe pamoja na kuwa na point 9 bado kimahesabu anaweza asifuzu kama atapoteza mechi mbili zinazofuata
 
Second half inaanza
 
Mc Alger akishinda hii mechi, nakubali wazi Yanga safari yetu itakuwa imeishia hapa
 
Al Hilal na Mc Algier ndio wanaopita.

Nyie mtaishia kuwa wakunja ngumi tu.
Haya maneno yalitamkwa hivi hivi baada ya mechi ya Al Ahly vs Belouizdad huku Yanga wakiwa na point 5 pekee. Ila kilichokuja kutokea
 
Wapange matokeo wakati bado hakuna ambaye kaisha kata tiketi ya kufuzu? Hata hao Al Hilal wenyewe pamoja na kuwa na point 9 bado kimahesabu anaweza asifuzu kama atapoteza mechi mbili zinazofuata

Swali langu kwako

Naomba unitajie ni timu gani ikifeli kufuzu caf champions league baada ya kufikisha point 9 ?
 
Haya maneno yalitamkwa hivi hivi baada ya mechi ya Al Ahly vs Belouizdad huku Yanga wakiwa na point 5 pekee. Ila kilichokuja kutokea
Hauwezi kuishi kupitia bahati siku zote.

Halafu bahati ya kuamini itakuwa nzuri tu kwa upande wako.
 
Back
Top Bottom