FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Raha sana kufatilia ligi ya mabingwa sio shirikisho🤣🤣🤣🤣🤣
Tupe msimamo wa ligi ya mabingwa
Wa shirikisho huo hapo
1000218745.jpg
 
Kona wanapiga Al Hilal
 
Kifupi Al Hilal anaweza asiendelee mbele kama atakubali kufungwa leo.
Yanga ana point 4 mechi mbili mkononi!
Akimpiga Al Hilal na MC Algiers.
Ana uhakika.

Al hilal lazima avuke maana ana point 9 tayari na bado ana mechi na vitoto vya mazembe..

Na bado ana goal difference nzuri
 
Nilichokiona.. ukiwa refa wa mechi za waarabu... unatakiwa uwe makini sanaa...
 
Al hilal lazima avuke maana ana point 9 tayari na bado ana mechi na vitoto vya mazembe..
anahitaji point 1 tu na magoli walau 3.
ili asifikiwe.
Akipoteza leo, akipoteza kwa Yanga akidroo na Mazembe haipiti.
 
Kwa hili kundi timu 3 zinashindana kuingia.
Al Hilal bado hana uhakika akipoteza hizo game 2 habari yake imeishia hapo

Al hilal katika mechi zake mbili ana nyepesi pia. Anacheza na mtu ambaye hana nia ya kufuzu
 
Back
Top Bottom