OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
MC Algers wako serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 7 Mc Algier wanashambulia haswa utafikiri wao ndio wamefungwa
Msimamonwa kundi lenu unasemaje kwniAl hilal wazee wa game changer na huwa wana uvumilivu sana kwenye kushambuliwa
Mc Algiers wafungwe ili yeye amkute maana Al hilal mguu moja ushavukaHivi yanga wanahitaji matokeo gani kwenye hii mechi?
Yanga akishinda mechi zote mbili zikizobaki anaenda robo fainali. Ila Algers akifungwa ni nafuu kwa Yanga sababu ushinndani unapungua hata hivyo mechi bado mbichi hii Al Hilal anaenda kushinda.Hivi yanga wanahitaji matokeo gani kwenye hii mechi?
Hivi yanga wanahitaji matokeo gani kwenye hii mechi?
Sana yani sana hili kundi siioni nafasi ya Yanga kiukweli, Caf wameshiriki kama wapita njia tu ila sio kama wapita MakundiMC Algers wako serious