FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Ubao ubaki hiv hiv
 

Attachments

  • IMG_6088.png
    IMG_6088.png
    769.2 KB · Views: 6
Hivi yanga wanahitaji matokeo gani kwenye hii mechi?
Yanga akishinda mechi zote mbili zikizobaki anaenda robo fainali. Ila Algers akifungwa ni nafuu kwa Yanga sababu ushinndani unapungua hata hivyo mechi bado mbichi hii Al Hilal anaenda kushinda.
 
Kona wanapiga Mc Algier
 
Hawa majamaa wako serious sana wameonesha kuitaka mechi tangu mapema
 
Weee!! asa itakuwaje 😂 kwa uto!? Al Hilal akifungwa , uto watakiona Mauritania na USM Ulgers akija TZ uto kipigo kinamuhusu.
 
Yani mpira ukiwa kwenye eneo la Mc Algier hata hauna hatari ya kuwazia goli kufungwa
 
Back
Top Bottom