FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Msimamo ulivyo, Mc Alger atasonga mbele, Yanga watasonga ugali

 
Game ipo live

 
Yaaani mpira wa wenzetu unaona kabisa wanacheza kwa mipango na kulitafuta goli sio wa kwetu cc tunashinda kwa kubahatisha tu🤣
 
Kwani matokeo yakibaki hivi Yanga wakashinda mechi zake hata hesabu za waki waka tuka zinakataa?
Ili yanga apite itabidi mechi mbili zilizobaki tupate goli zaidi ya tano, Mc Alger afungwe kwa mkapa, ugumu unakuja Mazembe inabidi amfunge Mc Alger huko kwao (sio draw).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…