daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
MatokeoNilisema ni suala la muda tu ...Azam hawachezi kama timu kabisa
Kwahiyo unataka usemaje Mwasibu?Wakivuka hapa kuna Pyramids
Mpira huo ushapitwa na wakati...disline gani ya kujiangusha na kupoteza muda halafu muda wote timu ipo nyuma DuhhUgenini unatakiwa ucheze kwa Discipline mkuu.
Hivi wameingia bure?Kila la heri APR
Wanajeshi wa Rwanda
Natumai hamtaniangusha