Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.
Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.
Mchezo ni saa 3 kamili usiku
Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.
Hizi hapa ni head to head
Aggregate kubwa iliyowahi kushuhudiwa miamba hii ikipambana
View attachment 2646298
Hizi ni H2H za miaka ya hivi karibuni
View attachment 2646310
View attachment 2646316
**************************
Vikosi kwa timu zote mbili
Al Ahly Sc
View attachment 2646318
Wydad Casablanca
View attachment 2646319