FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

7''
Wydad wanafanya uzembe hapa nusra wajifunge ni kama bahati mpira umeenda nje ya lango na kuwa kona
 
Al Ahly wanakuja kwa speed kwenye lango la Wydad
 
Kulikuwa na mgogoro mmoja ulitokea ulivuruga sana mechi kwenye moja ya fainali za CAF ndio hapo wakaamua wakae waangalie namna ya kutatua changamoto ni kuweka fainali mbili.
Lini huo mgogoro? Ilikuwa nani vs nani? Mgogoro ulihusu nini? na je wawakilishi wa vilabu walipitisha hii kanuni
 
10'
Freekick wanapata Al Ahly
 
11

Al Ahly wanajikanyaga kanyaga hapa na kupoteza nafasi ya wazi
 
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.

Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.

Mchezo ni saa 3 kamili usiku

Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.

Hizi hapa ni head to head

Aggregate kubwa iliyowahi kushuhudiwa miamba hii ikipambana

View attachment 2646298


Hizi ni H2H za miaka ya hivi karibuni

View attachment 2646310
View attachment 2646316
**************************


Vikosi kwa timu zote mbili

Al Ahly Sc

View attachment 2646318

Wydad Casablanca

View attachment 2646319
Tau hiki chuma ni hatari.
 
17'
Al Ahly wanakosa bao hapa baada ya beki ku block mpira anbao ulikuwa unaenda kambani
 
18'
Al Ahly wanapiga shuti moja baada ya Wydad kupoteza mpira lakini kipa anafanya save bora kabisa
 
Unavaa kikamba unasema medali eti umepambana.

Unaona hapa kinachofanyika?
 
20'
Al Ahly wanapata kona ya 4 hapa
 
Back
Top Bottom