Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini huo mgogoro? Ilikuwa nani vs nani? Mgogoro ulihusu nini? na je wawakilishi wa vilabu walipitisha hii kanuniKulikuwa na mgogoro mmoja ulitokea ulivuruga sana mechi kwenye moja ya fainali za CAF ndio hapo wakaamua wakae waangalie namna ya kutatua changamoto ni kuweka fainali mbili.
Tau hiki chuma ni hatari.Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.
Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.
Mchezo ni saa 3 kamili usiku
Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.
Hizi hapa ni head to head
Aggregate kubwa iliyowahi kushuhudiwa miamba hii ikipambana
View attachment 2646298
Hizi ni H2H za miaka ya hivi karibuni
View attachment 2646310
View attachment 2646316
**************************
Vikosi kwa timu zote mbili
Al Ahly Sc
View attachment 2646318
Wydad Casablanca
View attachment 2646319
Aliye kula kala.Unavaa kikamba unasema medali eti umepambana.
Unaona hapa kinachofanyika?
sawaNitakuja kukujibu baadaye