Mpira ulikuwa jana leo hakuna kituMechi inavutia jana nililala mapemaa
Mwakani tena na watazidi kuumia.Uzi umejaa mipasho jamani kuna watu bado wana maumivu sanaππππππ€£π€£π€£π€£π€£
mtangazaji mwenyewe ni makolo damu damuMtangazaji anakwambia Giants....
Simba ni level za juu kucheza na hii miamba 2...
Nyasi Bado hazijaota kule SOUTHMtangazaji anakwambia Giants....
Simba ni level za juu kucheza na hii miamba 2...
Wapeleke sampo ya udongo kwa wakemia...itakua tulinyea kabisaNyasi Bado hazijaota kule SOUTH