FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

52'
Al Ahly wanapoka mpira hapa eneo la jirani na 18 lakini linapigwa shuti kepesi ambalo kinakuwa ni chakula kwa mlinda mlango
 
54'.
Wydad wanapiga shuti linaenda nje ya lango ilikuwa hatari
 
Wydad wansitasita sana yani mtu unamuona yupo kwenye eneo zuri ka kushambulia halafu ananza kutetemeka tetemeka
 
Game ipo open hata Wydad anaweza kushinda sio tu kutoa sare, ila wana uzembe mwingi
 
Yoyote ashinde tuu...Simba ilishawafunga hao kila mmoja kwa wakati wake...Simba ni nomaa...
 
59'.
Wydad wanapata freekick eneo zuri
 
68'

Goooooooooooal

Al Ahly wanaandika bao la pili baada ya uzembe wa kipa kutoka kwenda kukaba mpira na kuliacha lango.

Kipa kapigwa chenga ikapigwa pasi ikamkuta muuaji kafumua shuti kali na kuandika bao la pili.

Huu uzembe huwezi kuuona anafanya Diarra
 
Back
Top Bottom