FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

47'
Mamelody wanafika kwenye eneo la hatari lakini wanakutana na upinzani unaosababisha washindwe kufanya lolote
 
Mamelody wamepiga kona nyingine lakini haijazaa matunda
 
49'
Mamelody wanafanya shambulizi kali hapa lakini golikipa anakaa vizuri
 
Wydad sasa watafunguka na ndio watakubali kichapo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…