Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?SUB
BALEKE OUT
BOKO IN
Weka kwenye title ya uziSimba SC 0 - 1 Power Dynamos
(2-3 on Aggregate)
Inauma unajua mtu anaingia uwanjani kuruka ruka tu hui ufala kabisa wa kiwango cha mfugalePole mkuu. I can feel your pain. Jikaze kiume!
Huyu kocha anawalostisha simba. dah!Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Huwezi kumbatia wazee na failures afu utegemee maajabuMwaka huu timu inatutia aibu kwa usajili mbovu,timu imejaa wapigaji Mo anatakiwa aingie front mwenyewe badala ya kuwaachia majukumu wapigaji.
Baadh ya gest wanaandikaga majina ya miji kwenye milangoUpo misungwi sehemu gani?
Humjui Bocco wewe, tuliza jazbaHivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Labda wachome uwanja kama walivyofanya South Africa kipindi kileShida makolo watakuja na plan b ya nje ya uwanja
Simba wakiongoza title ya uzi ndiyo itabadilishwa ili kuonyesha magoli. Tuwe na subira ππΏMbona goli halisomi hapo msitufanye sisi manyaniπ€£π€£π€£
Nyambaf[emoji41][emoji41][emoji41]Furaha yangu ni kuona mashabiki wa simba wanalia