FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tff iache kuzipa hizi timu likizo zikisubiria mechi. Waache walalamike. Tunajielewa sie Tanzania
Huko South na ligi nyingine kubwa hakuna mambo ya likizo, miaka nenda rudi tunashiriki ila bado tunayaona haya mashindano kama deal sana kiasi cha kuzipa team zinazoshiriki muda wa wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…